tunage JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 252 Reaction score 168 Nov 23, 2016 #1 naomba msaada nimekua nikijiuliza kunatofauti yeyote katika makadirio ya kodi endapo nitaiita biashara yangu COMPANY na nikaiita COMPANY LIMITED?
naomba msaada nimekua nikijiuliza kunatofauti yeyote katika makadirio ya kodi endapo nitaiita biashara yangu COMPANY na nikaiita COMPANY LIMITED?
king kan JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,639 Reaction score 2,066 Nov 23, 2016 #2 Hakuna tofauti yoyote iwapo utatumia hayo hapo juu na kusajiliwa. Tofauti ingekuwapo iwapo ungefanya biashara kama mtu binafsi na sio kampuni.
Hakuna tofauti yoyote iwapo utatumia hayo hapo juu na kusajiliwa. Tofauti ingekuwapo iwapo ungefanya biashara kama mtu binafsi na sio kampuni.