Naomba kujua tofauti ya maneno haya

lutemi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
1,748
Reaction score
1,388
Naomba kujua tofauti ya maneno haya
Criticism
Arguments
Blaming
Critical points


Je ni nini utofauti wake na lugha gani inapaswa kutumika ili kusadifu kwamba upo katika kundi hilo?

Mfano katika wanasheria yupi na anaangukia wapi?

Mwanasiasa pia yupi na anaangukia wapi.
Je katika hayo tujikite wapi na yanafaida gani kwa jamii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…