Naomba kujua uhusiano kati Coding and Accounting

Naomba kujua uhusiano kati Coding and Accounting

By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa carrier yangu PYTHON itanifaidisha vipi?

Naombeni mchanganuošŸ™šŸ¼
Python inaweza kukusaidia kuandaa good excel files na kufanya automation ya many formulas. Mimi naitumia katika PPL(Production Planning and Logistics). Pia kuna baadhi ya wahasibu wanaitumia lakini ni kwa makampuni makubwa yenye data nyingi.
 
Ndo wanaita system automation sio?
 
Hapana hakuna relationship hapo..

Yaani labda achana na account kasome tena web development nk ila kwa account hakuna
Binafsi me by career ni banker and financial services, Ila nimesoma html na css niwe vizur kwenye front end, ila before niliaza soma python for back end, ila shauku ya kukamilisha systems zangu nimepata shauku ya kusoma front end, ila python na finance ni Pete na kidole vinaendana hasa kwenye SQL (data analysis) pia fintec, accounting apps, na kadhalika
 
Back
Top Bottom