Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Katika pita zangu nikakutana na jamaa yangu akaniamboa amefanya maintenance kwenye mfumo wa umeme wa gari hasa ule unaoingia kwenye plugin gari imepunguza consumption ya mafuta kwa kiasi kikubwa .
Sasa nataka kujua uhusiano ukoje na nisehemu gani hasa ya umeme yakutizama.
Elimu haina mwisho!
Sasa nataka kujua uhusiano ukoje na nisehemu gani hasa ya umeme yakutizama.
Elimu haina mwisho!