Katika pita zangu nikakutana na jamaa yangu akaniamboa amefanya maintenance kwenye mfumo wa umeme wa gari hasa ule unaoingia kwenye plugin gari imepunguza consumption ya mafuta kwa kiasi kikubwa .
Sasa nataka kujua uhusiano ukoje na nisehemu gani hasa ya umeme yakutizama.
Elimu haina mwisho!
Thread 'Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics' Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/ElectronicsKatika pita zangu nikakutana na jamaa yangu akaniamboa amefanya maintenance kwenye mfumo wa umeme wa gari hasa ule unaoingia kwenye plugin gari imepunguza consumption ya mafuta kwa kiasi kikubwa .
Sasa nataka kujua uhusiano ukoje na nisehemu gani hasa ya umeme yakutizama.
Elimu haina mwisho!
Thread 'Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics' Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/ElectronicsAisee tupen mbinu maana mm Gari yangu nimepaki siyo kwa kula mafuta vile aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
Gari gani hio mzee?Aisee tupen mbinu maana mm Gari yangu nimepaki siyo kwa kula mafuta vile aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
VerosaGari gani hio mzee?
Bila shaka Kitu kitakua na engine ya 1G-FE.Verosa
Funguka mkuuUpo wapi nikuunganishe na fundi mzuri wa hizo mambo?