Naomba kujua ukomo wa matumizi ya coins za BOT

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Salaam wakuu,
Kuna wazo ninalo la kutumia coins (sarafu) kwa ajili ya kazi fulani. Coins nitazotumia ni za miaka ya nyuma zisizokuwa kwenye mzunguko. Sitaziharibu, lakini nitaweka sehem ambayo zitakuwa kama mapambo. Na je nikihitaji kununua sarafu hizo kutoka BOT inawezekana? Nitahitaji sarafu za senti tano zisizopungua elfo arobaini (40,000 coins).
 
mie ninazo sema una bei gani harafu kuhusu matumizi yake nenda BOT si unajua hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…