Naomba kujua ukweli kuhusu Rais Putin wa Urusi

Naomba kujua ukweli kuhusu Rais Putin wa Urusi

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,340
Habari wakuu,

Mimi ni mtu ambaye huwa napenda kujifunza mambo, nimesoma nadharia tofauti tofauti kuhusu huyu rais wa Urusi

Napenda kujua historia yake maana kuna vitu vinanichanganya sana kama kuna mtu anamjua zaidi anihabarishe,

Maana warusi wameenda mbali sana na hata kumpa urais wa kudumu. Kuna nini au kuna siri gani kumhusu huyu, rais mwenye msimamo mkali sana hapa duniani.
 
Habari wakuu,

Mimi ni mtu ambaye huwa napenda kujifunza mambo,nimesoma nadharia tofauti tofauti kuhusu huyu rais wa urusi

Napenda kujua historia yake maana kuna vitu vinanichanganya sana kama kuna mtu anamjua zaidi anihabarishe,

Maana warusi wameenda mbali sana na hata kumpa urais wa kudumu.kuna nini au kuna siri gani kumhusu huyu ,rais mwenye msimamo mkali sana hapa duniani
Ni dikteta tu kama mwenzake wa chattle.
 
A Spy by profession ashakuwa KGB colonel
Fluent in German language alikuwa stationed in East Germany
Alikuwa msaidizi wa Mayor St Petersburg... akajifanya fala, wakubwa wakaona anafaa kumrithi Boris Yeltsin.
Alipopewa madaraka, wakubwa wote wakaanza kuishi kama shetani
 
Tafuta kitabu kinaitwa New Tsars;the rise and reign of vladmir putin.
kuelewa kwa nini warusi wanamhusudu Putin soma novel inaitwa RUSSKA ya Rumsfeld(kwa ufupi warusi wengi wanaamini taifa lao liko kwenye constant foreign threats so wanahitaji kiongozi mbabe kama putin].
 
Asante
 
Kujifanya mbabe wakati raia wanaishi kwa shida si ushujaa. Russia watu wanateseka sana, hata ameiga China kwa kuban dini alizozibakisha ni zile zinazofuata sera zake.
 
Back
Top Bottom