Ni dikteta tu kama mwenzake wa chattle.Habari wakuu,
Mimi ni mtu ambaye huwa napenda kujifunza mambo,nimesoma nadharia tofauti tofauti kuhusu huyu rais wa urusi
Napenda kujua historia yake maana kuna vitu vinanichanganya sana kama kuna mtu anamjua zaidi anihabarishe,
Maana warusi wameenda mbali sana na hata kumpa urais wa kudumu.kuna nini au kuna siri gani kumhusu huyu ,rais mwenye msimamo mkali sana hapa duniani
AsanteTafuta kitabu kinaitwa New Tsars;the rise and reign of vladmir putin.
kuelewa kwa nini warusi wanamhusudu Putin soma novel inaitwa RUSSKA ya Rumsfeld(kwa ufupi warusi wengi wanaamini taifa lao liko kwenye constant foreign threats so wanahitaji kiongozi mbabe kama putin].