Naomba kujua ukweli kuhusu vioo

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje wanangu wanaJamiiForums

Naombeni kuujua ukweli kuhusu hivi vioo kwa wale wajuzi, maana huwa nikijichekigi kwenye kioo najionaga mbavu sana

Je hivi hizi image za kwenye vioo zinatoa picha halisi au zinazingua

Nawasilisha[emoji1488][emoji1488]
 
Ee yule si wewe?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 

Kioo anatakiwa awe mke/mume wako, au unayempenda, huyo ndiyo stakuchambua vizuri mbavu zako!
 
Huyu ni wewe
 
Tafta kioo kikubwa kama ukuta, weka sehem ya wazi kwa nje af pita ujione, apo ndo utajua ukwel
 
Kuna nyumba nyingine me nkienda nkajicheki kweny kioo najiona kama dume la nyani..... Nyumba nyingine najiona mrembo kweli..... Nyumba nyingine najiona tako, nyumba nyingine flat had uchogo..... Eeeh nyumba nyingine ety na bonge la bichwa....... Nyumba nyingine ety tako ninalo, sura nzuri ninayo
 
😁basi kwenye sura tu ndo kioo kimekudanganya ila vingine vyote kioo kimesema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…