Naomba kujua ukweli:

PRESIDENT JF

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
26
Reaction score
5
jaman wanajamv habarn na polen na majukum. Naomba kujuzwa kuhusu kdato cha sita wa mwaka huu ambao matokeo yao yametoka iv punde kwa wale wanaotaka kujiunga na ualimu



wa diploma au stashahada utaratibu upoje? naomba kujuzwa kwa wenye uelewa samahan kwa usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…