Naomba Kujua Ulaji wa Mafuta(Diesel) wa Nissan Safari Engine TD 4.2

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
632
Reaction score
235
Waungwana naomba msaada mnifahamishe ulaji mafuta wa Nissan Safari, Automatic gear, TD 4.2.
Kuna ndg kaniambia ni lita 18/ 100 km. Na mtu mwingine kasema wastani ni 5 - 6.2 lt/ 100 km ikitegemea unaendasha rough road au town.

Usahihi ni upi?
 
Lita 5 mpaka 6.2 kwa km 100 hii imekua suzuki jimmy ya cc 660?,kwa lita 5 kwa km 100 ina maana lita moja inakwenda km 20,hata kama kusoma hujui hata picha tu inakushinda kuona iko ups down

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Mkuu natafuta hiyo gari suzuki jimny 650 cc manual, unayo?
 
Nissan zote ni jau kwa wese, nafuu ipo kwenye nissan march au nissan sunny
 
binafsi ninayo y60 td 42. patrol, manual, cc 4160. inakula wastani wa kilomita 8 kwa lita moja ya diesel.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hii uliipata ikiwa mpya(zero km)

Kuna jamaa ana 2.5L Diesel, Toyota Hilux Single Cab 4wheel, inatembea km 8 kwa lita moja na alichukuwa ikiwa na 9km
 
Waungwana naomba msaada mnifahamishe ulaji mafuta wa Nissan Safari, Automatic gear, TD 4.2.
Kuna ndg kaniambia ni lita 18/ 100 km. Na mtu mwingine kasema wastani ni 5 - 6.2 lt/ 100 km ikitegemea unaendasha rough road au town.

Usahihi ni upi?

Nissan ni gari nzuri, lakini siamini kama TD4.2 T3 inakula mafuta kidogo hivyo.Mimi ninayo ZD3.0 DDTi nayo inakula kiasi cha kutosha....lakini bado naamini ni reasonable! Ndio mambo ya 4X4 mkuu
 
Back
Top Bottom