Naomba kujua umakini wa Be forward cleaning and fowarding agent's

Naomba kujua umakini wa Be forward cleaning and fowarding agent's

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
674
Habarini Wanajamvi.

Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na engine wanasema hawapo vizuri kabisa.Tafadhali kama wewe ni mfanyakazi wao naomba usicomment ili nipate mawazo huru.

naomba mawazo yenu yajikite kwenye:

1.Gharama
2.Kama ni wasumbufu au laa
3.Ushirikiano na mteja
4.Kama wanafanya delay zisizo na msingi au laa
5.etc

Asante.

Nawaza kuwatumia wao kama clearing and fowarding company.

Udhoefu wenu tafadhali.
 
Kipindi cha nyuma hawakuwa na sifa Nzuri. Hofu na mashaka ni kama hawajajirekebisha.
 
Wapo vizuri mkuu. Mie nimefanya nao business miezi kama minne hivi iliyopita.
 
Wapo vizuri sana hakuna longolongo wala blahblah na wana wadada wazuri sana pale ofisini kwao
 
Ofisi zao zipo mitaa gani?
Wako vizuri sn japo ghalama zao ni juu kidogo lkn mna negotiate wanapunguza ofc zao zipo opposite na ocean road hospital gari wanakutolea unaikuta kwenye yard zao zilizoko kamata ila kuna ma cleaning binafsi ni wazuri kuna mmoja gari yangu ilitoka saa 7 ucku nilikuwa na haraka sana wao kazi hiyo ya ucku hasawezi
 
Hawana shida mkuu, nunua gari kwao watumie wao kuclear, kitu hadi mlangoni hawana noma
 
Back
Top Bottom