Naomba kujua unyumbulishwaji wa neno Adhibu

Naomba kujua unyumbulishwaji wa neno Adhibu

Mr Msagati

Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Naomba unyumbuishaji wa neno adhibu?

TENDA-
TENDEA-
TENDEKA-
TENDANA-
TENDEANA-
TENDWA-
TENDEWA -
TENDEKA-
TENDESHA-
TENDESHANA-

Karibuni tupanuane uelewa...
 
Muone mwl.wako wa kiswahili akuelekeze zaiidi hizo kauli za kutenda kutendwa na kutendana"
Kwa jibu hilo basi Forum haina maana ....

Kwako rais wengine sio ndio maana mtu anauliza.

Acha dharau Jogoo wa shamba.

Kama huna hamu ya kusaidia ni vema ukae kimya na sio kucheza shere hapa wakati mtu anahitaji msaada katika ukakasi uliupata
 
Back
Top Bottom