Mr Msagati Member Joined Dec 31, 2019 Posts 5 Reaction score 1 May 6, 2023 #1 Naomba unyumbuishaji wa neno adhibu? TENDA- TENDEA- TENDEKA- TENDANA- TENDEANA- TENDWA- TENDEWA - TENDEKA- TENDESHA- TENDESHANA- Karibuni tupanuane uelewa...
Naomba unyumbuishaji wa neno adhibu? TENDA- TENDEA- TENDEKA- TENDANA- TENDEANA- TENDWA- TENDEWA - TENDEKA- TENDESHA- TENDESHANA- Karibuni tupanuane uelewa...
Jogoo wa Shamba II JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 3,373 Reaction score 6,532 May 6, 2023 #2 Muone mwl.wako wa kiswahili akuelekeze zaiidi hizo kauli za kutenda kutendwa na kutendana"
Mr Msagati Member Joined Dec 31, 2019 Posts 5 Reaction score 1 May 6, 2023 Thread starter #3 Jogoo wa Shamba II said: Muone mwl.wako wa kiswahili akuelekeze zaiidi hizo kauli za kutenda kutendwa na kutendana" Click to expand... Kwa jibu hilo basi Forum haina maana .... Kwako rais wengine sio ndio maana mtu anauliza. Acha dharau Jogoo wa shamba. Kama huna hamu ya kusaidia ni vema ukae kimya na sio kucheza shere hapa wakati mtu anahitaji msaada katika ukakasi uliupata
Jogoo wa Shamba II said: Muone mwl.wako wa kiswahili akuelekeze zaiidi hizo kauli za kutenda kutendwa na kutendana" Click to expand... Kwa jibu hilo basi Forum haina maana .... Kwako rais wengine sio ndio maana mtu anauliza. Acha dharau Jogoo wa shamba. Kama huna hamu ya kusaidia ni vema ukae kimya na sio kucheza shere hapa wakati mtu anahitaji msaada katika ukakasi uliupata