Sasa iko hivi Kama ni kutoka kwa mvuvi samaki hainaga bei maalum. Huwa inauzwa kulingana na cku hiyo imepatikana kwa kiasi gani!?Hata ikiwa ni kutoka kwa wavuvi direct ila kwa bei rafiki itakayokuwa na faida kwangu
Yeah karibu sana mkuuNaweza kukutafuta tukaongea zaidi?
naomba nami nikucheck pm.Mkuu usijal Mimi nifanye hii biashara nipo moshi Kilimanjaro, nipo tayari kukusaidia naomba unicheki PM View attachment 1476890