Naomba kujua usafiri wa mabasi kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara

Members naomba kufahamishwa ni kampuni gani za bus za kuamika kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara kutokea Dar , ofisi zao zilipo pia. Nawasilisha
Kampuni ya Maning Nice gari zake ziko poa. Ofisi zao zipo Temeke na Mbagala. Unaweza kukata ticket online. Tembelea website yao utapata namba zao.
 
Baraka , ofisi nyingi za mabasi ya ukanda huo zipo Temeke na Mbagala ila hata Mbezi stand ya Magufuli wapo wenye ofisi.
 
Kampuni ya Maning Nice gari zake ziko poa. Ofisi zao zipo Temeke na Mbagala. Unaweza kukata ticket online. Tembelea website yao utapata namba zao.
Asante sana Mkuu
 
Maning nice chama la wana, ilinilea sana miaka yoote milipokuwa Dar - Mtwara Gari ya saa 6 daaah. Yule dereva bishoo mvaa cheni fulani popote ulipo kula gwala mtu wangu.
 
Hivi kuvaa cheni ni ubishoo?
 
Natarajia kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda. Nataka kusafiri mchana. Kutalii.
NI mabasi yapi?
Ratiba zake?
Nauli?
Yanatumia muda gani Dar Masasi?
 
Back
Top Bottom