Habari zenu wadau, bila kupoteza mda naomba kujulishwa gharama za ushuru zinavyokuwa iwapo nitanunua gari au mashine kutoka kwa mtu nchini Kenya ambayo ni used ilikuwa inatumika na mkenya, ushuru unakuwaje mfano labda nimenunua gari milion 20 za kitanzania nchini Kenya na linatakiwa livuke mpaka lije bongo.
Nasubiri majibu wajuzi karibuni [emoji120]