Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Habari,

Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake.

1615394390418.png

Nawasilisha.
 
1. Unawasiliana na kampuni au fundi wa kufunga CCTV kwamba unahitaji huduma
2. Fundi atakuja kujagua maeneo unayotaka kufunga CCTV na atakushauri ni kamera ngapi na aina gani zitakazofaa kufungwa.
3. Utatajiwa gharama ya vifaa vitakavyohitajika na gharama za ufungaji.
4. Ukikubali gharama, utalipa.
5. Mfungaji wa CCTV atakuambia lini atakuja kufunga (Jumamosi/ Jumapili ni siku nzuri)
6. Utafundishwa namna ya kutumia huo mfumo.
7. Utakabidhiwa rasmi mfumo wako.
9. Utakubaliana na mfungaji wa huo mfumo gharama za kuhudumia huo mfumo, kila baada ya miezi mitatu au pale unapopata tatizo.
10. Furahia huduma na kumletea huyo fundi wateja zaidi (word of mouth) 😁
 
Habari,

Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake.

View attachment 1722198

Nawasilisha.
CCTV CAMERA

ROYAL SECURITY SUTIONS Inakushauri kuimarisha ulinzi wa eneo lako kwa kufunga mifumo imara ya uangalizi wa cctv camera .
[emoji832]Unaweza kufunga nyumbani , ofisini, shule , hospitali, kiwanda , eneo la mradi na godauni .
[emoji832]Tuna camera zenye uwezo mkubwa wa kukupa picha angavu mchana na usiku . Camera zina uwezo mkubwa wa kutambua kila kitu pamoja na namba za magari kwa usahihi pamoja na sura ya mhusika .
[emoji832]Pia utakuwa na uwezo wa kuangalia camera zako ukiwa sehemu yoyote Duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi .
[emoji832]Tuna tumia bidhaa zinazoaminiwa Duniani kote aina ya HIKVISION .

[emoji837]KARIBU TKUFANYIE KAZI BORA NA SAFI KWENYE ENEO LAKO .
PIA TUNAUZA NA KUSAMBAZA VIFAA VYOTE VYA MIFUMO YA CCTV CAMERA KWA BEI NAFUU KABISA

TUPO DAR ES SALAAM / MTAA WA CONGO NA KIPATA

0756 330 743
 
Ahsante mkuu
 
Mkuu ningependa kujua gharama na vigezo/taratibu za ufungaji
 
Gharama inategemea na aina ya camera tutakazo kufungia kulingana na eneo lako , idadi ya camera , Mobile view kutokana na mahitaji ya mteja. Ni vizuri kufika site kufanya survey na kupewa gharama kutokana na eneo lako lilivyo .
 
Habari,

Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake.

View attachment 1722198

Nawasilisha.
PROSPER TECHNOLOGIES Ni wataalamu wa security systems aina zote CCTV Cameras, Electric Fence, Intruder Alarm etc wasiliana nasi sasa kupitia kwa WhatsApp/Call 0679856858 wakati wowote,Ushauri Ni Bure Kabisa.

www.prospertechnologies.co.tz

USALAMA WAKO NI JUKUMU LETU.
 
Back
Top Bottom