Hivi hizi ndoa ikitokea mkazaa halafu mtoto akafariki mnamzika kiserikali pia au?
Kama lengo lako la kuoa ni kujiepusha na zinaa ndoa ya kiserikali haiwezi kukusaidia nenda kafunge ndoa msikitini, kanisani au hata ya kimila. Ndoa ya Serikali ni zinaa iliyorasimishwa kisheria.Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali
Nahitaji kuwa na nini na nini maana mwanamke ninaye. Lengo kuu ni kutaka kufanya mambo mengine nikiwa na huyu mwanamke maana Kuna vitu nashindwa kumkamilishia mpaka awe ndani ya ndoa ya serikali.
Na njia gani naweza kutumia Ili nifanikishe Ili jambo.
Ni hayo tu watanzania wenzangu.
Hapana mnamzikia kwenu
Serikali inazika wasiojulikana
anae funga ndoa bomani huyo kaikana imani yake ya diniNaomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali