Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Kitambulisho Cha nini sijakuelewaHutalipa Ada kusoma hapo ni bure ukionyesha kitambulisho chako cha huko Tunguu
Kitambulisho cha Mzanzibari MkaaziKitambulisho Cha nini sijakuelewa
Ndo Utaratibu?Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi
Mkuu,.Wakuu naomba Ushauri.
Nahitaji kusoma shahada ya Kwanza (Degree) ila nina vikwazo vifuatavyo;
. Muajiriwa Serikalini nina miezi 7
. Nipo mbali na vyuo
. Naitaji kusoma kwa Siri asijue mtu Kazini.
.Nipo Zanzibar
.Miaka 25
Anayefahamu utaratibu wa kusoma Chuo kikuu huria (Open) naomba anieleweshe?
Au
Nijijenge Kwanza Maisha.
.Ushauri wenu wakuu mbali mbali🙏
Dr Adam Francis
Dr Akili
Dr Aku burner
Dr am 4 real PhD
Chuo kikuu huria utaratibu wake wa kusoma ni rahisi sana, kimsingi muda pekee unaweza kubanwa ni wakati wa mitihani, jambo ambalo waweza zipanga likizo zako ziangukie kipindi cha mitihani. Kusoma ni wazo bora, fanya application mapema wakati unajipanga.Wakuu naomba Ushauri.
Nahitaji kusoma shahada ya Kwanza (Degree) ila nina vikwazo vifuatavyo;
Muajiriwa Serikalini nina miezi 7
Nipo mbali na vyuo
Naitaji kusoma kwa Siri asijue mtu Kazini.
Nipo Zanzibar
Miaka 25
Anayefahamu utaratibu wa kusoma Chuo Kikuu Huria (Open), naomba anieleweshe?
Au nijijenge Kwanza Maisha.
Ushauri wenu wakuu mbali mbali🙏
Dr Adam Francis
Dr Akili
Dr Aku burner
Dr am 4 real PhD