Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,134 Feb 11, 2019 #1 HabariI wanajamvi naombenI kujua utaratibu wa kupata bima ya afya kwa ambae sio muajiriwa asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
HabariI wanajamvi naombenI kujua utaratibu wa kupata bima ya afya kwa ambae sio muajiriwa asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Feb 11, 2019 #2 Nenda NHIF zipo packages tofauti kuanzia za watoto n.k ambazo unalipia kwa mwaka kama niko na kumbukumbu nzuri au kama unachangia mifuko ya hifadhi za jamii hata kama sio mwajiriwa unaweza kupata huduma ya bima ya afya.
Nenda NHIF zipo packages tofauti kuanzia za watoto n.k ambazo unalipia kwa mwaka kama niko na kumbukumbu nzuri au kama unachangia mifuko ya hifadhi za jamii hata kama sio mwajiriwa unaweza kupata huduma ya bima ya afya.
N nzikudaima Senior Member Joined May 27, 2017 Posts 180 Reaction score 91 Feb 11, 2019 #3 Aliyetoa maelezo hapo juu yupo sahihi Sent using Jamii Forums mobile app