kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu..
nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya DAR ES SALAAM na mipango yetu kama familia tungependa aje afanyia INTERNSHIP yake hapa hapa mkoa wa DAR ES SALAAM.
MASWALI NA USHAURI WENU WANA JAMIIFORUM:
1. Utaratibu wa kupata nafasi kupitia mifumo yako uwa upoje?
2. Na kama atapangiwa nje ya mkoa wa DAR ES SALAAM je kuna uwezekano\namna ya kufanya ili apate nafasi aje afanyie uku DAR ES SALAAM ?
3. Utaratibu wa kufanya ayo maombi uwa ni unaanza mwezi gani na unafanyika kupitia mfumo gani?
4. Ushauri mwingineo unapokelewa, ila kikubwa tunataka aje afanyie INTERNSHIP yake hapa DSM
Karibuni kwa majibu na ushauri