Naomba kujua utaratibu za msamaha wa kodi kwa mtumishi wa umma kama unaagiza gari nje

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
Samahani wana jf,

Naomba mwenye kujua taratibu za mtumishi wa umma kuomba msamaha wa kodi kama ameagiza gari nje ncihi naomba kuwasilisha.
 
samahani wana jf naomba mwenye kujua taratibu za mtumishi wa umma kuomba msamaha wa kodi kama ameagiza gari nje ncihi naomba kuwasilisha

uvivu wa kuperuzi, kuna uzi ambao umefunguliwa jana jamaa anauliza same question, na wewe bila hata ku-search kidogo umekurupuka kuanzisha uzi. kumbuka JF ina umri wa mtu mzima sasa vitu vingo vilishajadiliwa so hakuna ulazima wa kuanzisba uzi mpya huko ni kujaza tu server.

hebu copy hiyo link peleka kwenye url utapata majibu ya maswali yako.

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/660291-mwalimu-akiagiza-gari-atapunguziwa-kodi-3.html#post9572095
 
Samahani wana jf,

Naomba mwenye kujua taratibu za mtumishi wa umma kuomba msamaha wa kodi kama ameagiza gari nje ncihi naomba kuwasilisha.

Pitia jukwaa la hoja na habari nchanganyiko hii mada inajadiliwa
 
uvivu wa kuperuzi, kuna uzi ambao umefunguliwa jana jamaa anauliza same question, na wewe bila hata ku-search kidogo umekurupuka kuanzisha uzi. kumbuka JF ina umri wa mtu mzima sasa vitu vingo vilishajadiliwa so hakuna ulazima wa kuanzisba uzi mpya huko ni kujaza tu server.

hebu copy hiyo link peleka kwenye url utapata majibu ya maswali yako.

https://www.jamiiforums.com/habari-...iza-gari-atapunguziwa-kodi-3.html#post9572095

Duh kaka kuperuz kila jukwaa kila post nato ni inshu, au kuna search engine? Hehe
 
Wadau nashukuru gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa michango yenu ya kimawazo kuhusu swala hili.
 
Utupe lift basi ukituona.
 
Back
Top Bottom