vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Hapa chini ni barua ya notisi iliyotoka kwa mwenye nyumba kwenda kwa mpangaji. Notisi imetolewa ya miezi mitatu ila inasoma baada ya mkataba wao wa awali kukamilika. Kwenye hiyo notisi, mwenye nyumba anataka malipo ya kodi ya miezi mitatu ya kwenye hiyo notisi, huku mpangaji akigoma kulipa kodi kwavile kaishapewa notisi. Je yupi yupo sahihi?