Mwenye Nyumba wangu itakuwa hana njaa, nakumbuka aliwarudishia kodi wapangaji wawili wote walikuwa na mikataba ya miezi sita sita,
mmoja alikuwa kakaa mwezi mmoja hivyo akarudishiwa kodi ya miezi mitano,
mwingine alikuwa kakaa miezi miwili hivyo akarudishiwa kodi ya miezi minne,
kisha akawapa mwezi mmoja wakae bure huku wakilipia huduma ndogo ndogo