CONSTANTKD
Member
- Jan 24, 2018
- 24
- 8
Naombeni ufafanuzi kdg juu ya utofauti uliopo wa pikipiki aina ya T-BETTER VS HOJUE kuanzia bei zake kwa sasa dukani na ubora wa kila moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haojue ni imara zaidi kuliko T-BETTER. Haojue sasaiv bei yake inacheza kati ya 2.2 na 2.4 M zinasifika kwa mwendokasi na ulaji mzuri wa mafuta.t-better kama jina lake n better kweli kweli ila hyo ho-jau kama jina lake n jau kweli kweli
anyway maendeleo hayana chama kidumu chama
Halafu huyo mnyama kwenye kuuza sasa,mapema tu unapata mkwanja,yaani mabodaboda wenyewe wanazielewa balaaa,Moro town zimetapakaa balaaHapa bongo hakuna pikipiki imara kushinda haojue kwenye pikipiki za 2.5m, inahimili barabara zote bila shida yeyote
Sio moro town pekee bali nchi nzima nimepitia kusini lindi na mtwara kila kijiwe ni haojue na injini yake unaweza piga 5yrs bila kugusa kama ukiwa mtunzaji mzuri.Halafu huyo mnyama kwenye kuuza sasa,mapema tu unapata mkwanja,yaani mabodaboda wenyewe wanazielewa balaaa,Moro town zimetapakaa balaa
Spares zake bei ghali kuliko Sanlg. Spocket ya nyuma ya Haojue bei yake kwenye Sanlg unapata Spocket ya nyuma na mbele na mnyororo.Sio moro town pekee bali nchi nzima nimepitia kusini lindi na mtwara kila kijiwe ni haojue na injini yake unaweza piga 5yrs bila kugusa kama ukiwa mtunzaji mzuri.
Zinadumu sana, spocket yake miezi 9 mpaka 12 ila sanlg miezi 3 unanunua tenaSpares zake bei ghali kuliko Sanlg. Spocket ya nyuma ya Haojue bei yake kwenye Sanlg unapata Spocket ya nyuma na mbele na mnyororo.
Kivipi,toa ufafanuzit-better kama jina lake n better kweli kweli ila hyo ho-jau kama jina lake n jau kweli kweli
anyway maendeleo hayana chama kidumu chama