Naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani Civil, plumbing, electrical, welding & fabrication zinaaply wapi

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi?

Au wana maworkshop ya kuchomelea nk?
 
Umeuliza kama mjinga
Mahakama ni zaidi ya hayo unayoyajua
 
Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi?

Au wana maworkshop ya kuchomelea nk?

Taasisi za umma zote kubwa kunzia hosptali , Vyuo ,mahakama n.k

Lazima wawepo watu wa Plumber , Umeme n.k

Mfano ikitokeo leakages chuoni Maeneo kama vyuoni au chuoni wanakuwa na mafundi wao ambao wameajiriwa chuoni.

So hili swali limejibika

Means wanakuwa katika maintenance na mambo Kama hayo
 
Back
Top Bottom