neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Mmh bado sijakuelewaHujawahi kuona waziri wa ujenzi ni dokta
Umeuliza kama mjingaHabari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi?
Au wana maworkshop ya kuchomelea nk?
Ningekuwa najua nisingeuliza mkuu! Barikiwa sanaUmeuliza kama mjinga
Mahakama ni zaidi ya hayo unayoyajua
Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi?
Au wana maworkshop ya kuchomelea nk?