Naomba kujua uzuri na ubaya wa Toyota Ipsum

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
324
Reaction score
235
Hili gari kwa familia kubwa nalipenda.

Naomba kujua madhaifu yake katika:
- Safari ndefu Dar to Mwanza
- Ulaji mafuta
- Kwenye barabara ya vumbi
- Bei yake yard

Naombeni msaada.
 
Ni gari zuri,

Generation 1 ina engine ya 3S (2000ml) wakati generation 2 in a vvti 2400ml

Ulaji wa mafuta ni wa kawaida 12-13l/100km.

Barabarani yako stable kiasi chake hadi 120km/hr kama huna mzigo.. kama una zaidi ya hiyo spidi basi uwe makini.. nilikuwa nanunuwa maji ya uhai kuipa balansi nikiwa napiga masafa marefu bila abiria

Tatizo lake aina zote ziko chini.. kwenye barabara za vumbi na mashimo utasikia ikikwangua chini.. yafaa uende nayo mdogo mdogo offroad

Ni hayo kwa leo
 
Capital,
Mkuu kwa hii sentensi ". nilikuwa nanunuwa maji ya uhai kuipa balansi nikiwa napiga masafa marefu bila abiria" hata kama mtu alikuwa anataka kununua hii gari utakuwa ushamtisha. Tafsiri ya haraka ni kuwa haina balance barabarani ndiomana ukawa unaitafutia balance.
 
Yes mkuu.. kwa sababu nilikuwa napendelea spid had 150km/hr.. ili kufikia hiyo speed lazima niwe na kimzigo kwa ajili ya kuongeza stability. Magari kibao yako hivyo.. Harrier (matoleo yote) mojawapo..
 
Ulikuwa unatumia catton ngapi za maji?
 
Yap umeeleza vizuri mdau binafsi ndo gari nayomiliki sahv na nishspiga nayo misele sana hadi mbeya nimeenda nayo yangu ni 2nd generation mimi huwa nafika mpaka 140 bila mzigo wowote ila huwa simaintain speed sababu road zetu kimeo
Ni gari zuri,

Generation 1 ina engine ya 3S (2000ml) wakati generation 2 in a vvti 2400ml

Ulaji wa mafuta ni wa kawaida 12-13l/100km.

Barabarani yako stable kiasi chake hadi 120km/hr kama huna mzigo.. kama una zaidi ya hiyo spidi basi uwe makini.. nilikuwa nanunuwa maji ya uhai kuipa balansi nikiwa napiga masafa marefu bila abiria

Tatizo lake aina zote ziko chini.. kwenye barabara za vumbi na mashimo utasikia ikikwangua chini.. yafaa uende nayo mdogo mdogo offroad

Ni hayo kwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom