Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Nielezee zote mkuu. Mi najua ipsum. Kumbe kuna generation!?Ipsum Generation ipi?
Yes mkuu.. kwa sababu nilikuwa napendelea spid had 150km/hr.. ili kufikia hiyo speed lazima niwe na kimzigo kwa ajili ya kuongeza stability. Magari kibao yako hivyo.. Harrier (matoleo yote) mojawapo..Mkuu kwa hii sentensi ". nilikuwa nanunuwa maji ya uhai kuipa balansi nikiwa napiga masafa marefu bila abiria" hata kama mtu alikuwa anataka kununua hii gari utakuwa ushamtisha. Tafsiri ya haraka ni kuwa haina balance barabarani ndiomana ukawa unaitafutia balance.
Ulikuwa unatumia catton ngapi za maji?Yes mkuu.. kwa sababu nilikuwa napendelea spid had 150km/hr.. ili kufikia hiyo speed lazima niwe na kimzigo kwa ajili ya kuongeza stability. Magari kibao yako hivyo.. Harrier (matoleo yote) mojawapo..
Ni gari zuri,
Generation 1 ina engine ya 3S (2000ml) wakati generation 2 in a vvti 2400ml
Ulaji wa mafuta ni wa kawaida 12-13l/100km.
Barabarani yako stable kiasi chake hadi 120km/hr kama huna mzigo.. kama una zaidi ya hiyo spidi basi uwe makini.. nilikuwa nanunuwa maji ya uhai kuipa balansi nikiwa napiga masafa marefu bila abiria
Tatizo lake aina zote ziko chini.. kwenye barabara za vumbi na mashimo utasikia ikikwangua chini.. yafaa uende nayo mdogo mdogo offroad
Ni hayo kwa leo
ni gari nzuri ya familia , chukua mchuma mengine utakutana nayo ukishamiliki
Wish inanyonya nini? Mtori?Inanyonya mafuta sana bora uchukue wish
Sasa wewe utalinganisha cc2400 na cc1800Wish inanyonya nini? Mtori?
Gari nzuri angalau cc zianzie 2000+
Sometimes cc has nothing to do with fuel consumption hasa magari ya siku hz, ulaji wa mafuta wa ipsum ni wa kawaida sana ukilinganisha na cc zake
Wish inanyonya nini? Mtori?