Naomba kujua uzuri,udhaifu,uvumilivu,uimara wa egine ya 3s-FE

Naomba kujua uzuri,udhaifu,uvumilivu,uimara wa egine ya 3s-FE

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Kwa wataalam wa engine,naomba kujua uzuri,udhaifu,uvumilivu,uimara wa egine ya 3s-FE,life span ni km ngapi,unywaji mafuta mk
images%20(23).jpg
 
Huo mzigo unakuwaga kwenye Noah old model, ni engine imara sana ila changamoto yake ni kula oil, utakuwa unaongeza oil mara lwa mara hasa ikianza kuchoka.

Nimeandika kwa uzoefu wangu.
uko sahihi,ongezea utamtam mwingine,umechangia kidogo sana,na wewe ni mzoefu wa hizi gari,vipi uki ovahaul engine(kuifungua,kuweka slivu mpya nk).
 
Back
Top Bottom