Naomba kujua uzuri,udhaifu,uvumilivu,uimara wa egine ya 3s-FE

Huo mzigo unakuwaga kwenye Noah old model, ni engine imara sana ila changamoto yake ni kula oil, utakuwa unaongeza oil mara lwa mara hasa ikianza kuchoka.

Nimeandika kwa uzoefu wangu.
uko sahihi,ongezea utamtam mwingine,umechangia kidogo sana,na wewe ni mzoefu wa hizi gari,vipi uki ovahaul engine(kuifungua,kuweka slivu mpya nk).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…