Naomba kujua vigezo vya kupata mkopo elimu ya juu

Olaph.uk

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
 
umechaguliwa kozi gani na una point ngapi? kimsingi kozi na ufaulu are going to be considered.
 
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu

Sandakalawe amina mwenye kupata apate,mwenye kukosa akose
 
Masuala ya mkopo hayana anaejua ngoja tusubiri wenye dhamana watoe hawa heslb.
 
ucjal utapata tu,hata mwaka jana walixema elmu art 50 percent bt walipewa 100 xo ucjal 2waachie wao ndo wanajua ukwel kikubwa ulitimiza mashart ya mkopo na kujaza form vzur?
 
Back
Top Bottom