Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
umechaguliwa kozi gani na una point ngapi? kimsingi kozi na ufaulu are going to be considered.
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
Ufaulu sio lazima.
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
jidanganye.
Ufaulu siyo lazima ndio maana unajisajili kwa namba ya form four