Naomba kujua vituo vizuri vya kurudia mtihani kidato cha nne kwa Dar

UBILUKO

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
94
Reaction score
192
Habari

Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule

So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru ukinijulisha pia na Ada zao za tuition

Ahsante
 
ungesema unapokaa ingependeza sana, ila sio mbaya kuna kituo kipo banana hapo ukitokea magereza upande wa kushoto kipo fresh, ila ajitahidi pia kuhudhuria pindi za mchikichini kule zitamjenga sana
 
Habari
Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule

So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru ukinijulisha pia na Ada zao za tuition

Ahsante
Mzee Kama ni wewe Sema tu....! Kuzungusha jambo la Kawaida hilo..! Elimu za ukubwani zinaeleweka!
 
Habari
Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule

So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru ukinijulisha pia na Ada zao za tuition

Ahsante

Isee kurudia mithan ni mambo ya kizaman ebu mpeleke VETA itamsaidia kwenye maisha yake akipata ujuzi wa VETA utamsaidia sana
 
Kituo kizuri kikubwa cha kwanza ni yeye mwenyewe kuwa na moyo na utayari wa kurudia mtihani kama ameonesha hana moyo huoo acha kupoteza muda na gharama...namaanisha yeye akiwa na moyo tu atahangaika kutafuta materials na kusoma kwa bidii saana
 
Habari
Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule

So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru ukinijulisha pia na Ada zao za tuition

Ahsante
Kuna watu bado wanarist ? Kwa upande wangu mm nakushauri usipoteze pesa na kumpotezea mda huyo Ndugu yako kama alishindwa kupata C3 miaka4 je mwaka mmoja ataweza na masomo yenyewe science Bora umpeleke VETA ajipatie ujuzi kuliko kujipinda kukariri formulas
 
Jamani msaada kati ya Hekima buguruni na kwa ustqadh usalama wapi paziri? Tupo kijichi
 
Samahani boss, naomba unjelekeze kilipo au namba zao. Namba yangu ni 0652074075
Nenda buguruni sheli ulizia shule ya msingi hekima hapo utakuwa umefika utahudumiwa vizuri
 
Back
Top Bottom