Naomba kujua vizuri na sifa za ziada za carina si

Naomba kujua vizuri na sifa za ziada za carina si

2699s

Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
32
Reaction score
19
Habari wapendwa napenda kununua gari carina si
Naomba kujua vizuri na sifa za ziada ya gari ilo nataka kuifanya tax kagera
Ahsante
 
Sifa ya kwanza na muhimu ninayoijua mimi ni kwamba inatumia mafuta
 
Sifa nyingine inakuja katika rangi tofauti utakayochagua
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ayo majibu sasa wazee wa engine
 
Back
Top Bottom