Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Safari yake kwenye boma za wamasai amekomeshwaJamaa anafit sana taaluma yake.
dah waliamua kumkomoa tu!Safari yake kwenye boma za wamasai amekomeshwa
Moja walipika chakula ambacho wanaume hawatakiwi kukila,jamaa akabaki tu kando
Mbili wamechoma nyama ya mbuzi ila wamasai wanakula bila chumvi
[emoji23] [emoji23] Ilikua kama Sumbura name Urojo.dah waliamua kumkomoa tu!
Wasifu wake ni kuwa aliwahi kushiriki mashindano ya wapishi na kutokea mtu wa nne dunianiNapenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso.
Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea.
Jamaa anapenda sana kuonja onja
Naombeni kujua wasifu wake.