Naomba kujua wenye uzoefu na hii biashara ya printing ya vitu mbalimbali

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Wakuu naomba kujua wenye uzoefu na hii biashara ya printing ya vitu mbalimbali kama vikombe,nguo mbalimbali,mabango makubwa na madogo na vitu kama hivyo,naomba kujua kuhusu aina za printing, natakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani na vifaa vya aina gani .
Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…