Naomba kujua....

Naomba kujua....

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
katika majengo mengi ya viwanda huwa kunakuwa na vifaa kama feni vinafungwa juu ya paa ili kutoa hewa nje, naomba kujua vinaitwaje na upatikanaji wake pamoja na bei ikoje
 
Back
Top Bottom