naomba kujua

naomba kujua

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
238
Reaction score
234
ninampango wa kufungua duka la vifaa vya computer na pc zenyewe niko arusha ila sijajua bado ni wapi naweza kununua hivo vifaa kwa bei nzuri ili na mimi nije ni uze reja reja na kupata faida.ni kwa ukanda huu wa africa mashariki na kati tu kwanza.mwenye kufahamu pleas
 
Mkuu ngoja kampuni yangu ikufanyie reserch ya uhakika tutalipana upo tayari!!?
 
hamna shidah mkuu kama tutaelewana
 
Back
Top Bottom