ninampango wa kufungua duka la vifaa vya computer na pc zenyewe niko arusha ila sijajua bado ni wapi naweza kununua hivo vifaa kwa bei nzuri ili na mimi nije ni uze reja reja na kupata faida.ni kwa ukanda huu wa africa mashariki na kati tu kwanza.mwenye kufahamu pleas