Naomba kujua

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Kama mtu umeajiliwa na kupewa muda wa probation na kwa sasa ni miezi miwili imepita na mwajili wako hajasema lolote either kuongeza muda wa probation au vinginevyo.

Je ni hatua gani kisheria mwajiliwa anaweza chukua dhidi ya mwajili ?
 
Kwa kawaida mda wa probation ukiisha autonatically unakuwa na mkataba kamili wa ajira (wa kudumu). Kama mwajiri hajatoa mkataba wa ajira ya kudumu (au kwa mda fulani, kutegemea na mahali pa kazi),mwajiriwa ana kila sababu na haki ya kudai mkataba huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…