M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,951 Jul 31, 2019 #1 Kama kichwa inanavyojieleza...naomba kufahamu bei ya majiko ya kukaanga Bisi,hususani yanayotumia Gesi!
Kama kichwa inanavyojieleza...naomba kufahamu bei ya majiko ya kukaanga Bisi,hususani yanayotumia Gesi!
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,261 Aug 3, 2019 #2 Ni 280,000
grandMullah23m JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 248 Reaction score 339 Aug 5, 2019 #3 KYALOSANGI said: Kama kichwa inanavyojieleza...naomba kufahamu bei ya majiko ya kukaanga Bisi,hususani yanayotumia Gesi! Click to expand... Mkuu tuwasiliane...mi nipo dar nina mashine mbili..moja ya umeme nyingine ya gesi..naziuza zote...0621315340
KYALOSANGI said: Kama kichwa inanavyojieleza...naomba kufahamu bei ya majiko ya kukaanga Bisi,hususani yanayotumia Gesi! Click to expand... Mkuu tuwasiliane...mi nipo dar nina mashine mbili..moja ya umeme nyingine ya gesi..naziuza zote...0621315340