Ndugu zangu humu ndani!
Mimi ni mvuja jasho mwenzenu, nipo Mtwara Masasi, namiliki Hiace mbili ambazo kwakweli naona biashara imedorora kabisa.
Kuna wakati biashara haikuwa mbaya sana, Ila coaster nyingi zimekuja kutuharibia, maana hata abiria wanapendelea kuingia kwenye coaster!
Nimekuwa na wazo niachane nazo Hiace nichukue Coaster japo hata wenye coaster wanalalamika biashara ngumu!
Naomba kujua gharama ya kuipata Coaster kutoka yard, au mikononi mwa mtu au namna yoyote ambayo inawezekana ili nijue namna ya kujipanga!
Nitashukuru kwa kupata ufahamu!