Kwahiyo hapa Tanzania kuna watu million 40 wanayo tu ndani kaka?Andaa milioni 40
Sasa utapanga kununua kitu wakati huna hela? basi hiyo itakuwa ni ndoto mkuukwahiyo hapa tanzania kuna watu million 40 wanayo tu ndani kaka ?
Hiyo ni kwa kuagiza au kununua show room?Andaa milioni 40
UsedHiyo ni kwa kuagiza au kununua show room??.
OkUsed
Nissan inachangamoto gani?50 mpaka 60, 40 ni Nissan
Mtu anayemiliki Hiace mbili hajui namna ya kupata Coaster? Mtu anaingia na JF?Ndugu zangu humu ndani!
Mimi Ni mvuja jasho mwenzenu, nipo Mtwara Masasi, namiliki Hiace mbili ambazo kwakweli naona biashara imedorora kabisa!
Kuna wakati biashara haikuwa mbaya Sana, Ila coaster nyingi zimekuja kutuharibia, maana hata abiria wanapendelea kuingia kwenye coaster!
Nimekuwa na wazo niachane nazo Hiace nichukue Coaster japo hata wenye coaster wanalalamika biashara ngumu!
Naomba kujua gharama ya kuipata Coaster kutoka yard, au mikononi mwa mtu au namna yoyote ambayo inawezekana ili nijue namna ya kujipanga!
Nitashukuru kwa kupata ufahamu!
Waliomuuzia hizo Hiace Ni majamaa ya huko kijijini kwao hayana CoasterMtu anayemiliki Hiace mbili hajui namna ya kupata Coaster? Mtu anaingia na JF?
Acha masiala ndugu
Haina umadhubuti wa Toyota coasterNissan inachangamoto gani?
🙄kwahiyo hapa tanzania kuna watu million 40 wanayo tu ndani kaka ?