Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni possible na ukijipanga. Kusoma si ujingaKwa mfumo wa maisha ya huyu Jiwe bado mnawaza kusoma tu?
Kozi ni nyingi SanaNaona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa watu wengi?