Naomba kujulishwa kuhusu course ambayo mwanafunzi anayechukua PCB anaweza kusoma chuoni

Bhujegwe

Senior Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
135
Reaction score
191
Naona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa watu wengi?
 
Kozi ni nyingi Sana
Kozi zote za agriculture, biology, business, insurance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…