Naomba kujulishwa kuhusu visiwa vya Comoro

Naomba kujulishwa kuhusu visiwa vya Comoro

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
899
Hello wakuu, naomba kujua habari za visiwa vya commoro, kibiashara zaidi na maisha ya huko kwa ujumla, na je kuna watanzania wanapeleka biashara yoyote huko,
karibuni.
 
NINAVYOJUA NI KUWA WACOMORO HUJA SOKO LA PUGU KUCHUKUA NG'OMBE KWA AJILI YA NYAMA/KUCHINJA NA PIA KUNA BAADHI YA WATU HUFANYA NAO BIASHARA YA MAHINDI,,,Ni hayo tu mkuu.
 
Daah!! Uzi haukupata wajuvi wa Comoro?? Ungetusaidia
 
1.Tanzania ndio nchi inayopakana kwa ukaribu saana na Commoro ni kama km 380 ukitokea Mtwara kwa usafiri wa majini
Kuna boti imezinduliwa hivi karibuni nadhani inafanya safari mara 2 kwa wiki
2.Exporter wao mkubwa ni France na South Africa ingawa wao wako mbali saana
3.Usifanye biashara ya kukopeshana bidhaa wana sifa mbaya ya ulipaji
4.Population yao haizidi 1m wapo takriban laki 8 au 9 tu hivyo soko ni dogo sana ukilinganisha na DRC ambayo kinshasa peke ina population ya over 10m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana naye mmoja kwenye social network hiz tukafanya biashara haloo nilipata tabu hicho kiswahili chake itabid sasa tuanze kutumia voice note kidogo ikawa afadhali japo anaongea kama mchina hiv
[HASHTAG]#apo[/HASHTAG] alikua anamaanisha ishachukuliwa
e9e7f712f93f587d1b7e79ded2ab2ca9.jpg
 
duh jf raha
 
aaash hhaa haa aisee hii hatari mkuu
 
Back
Top Bottom