Wapo ila nadhani wameamua kukaushaDaah!! Uzi haukupata wajuvi wa Comoro?? Ungetusaidia
98%? are you seriousAsilimia 98 hawajui kusoma pia wanategemea kilimo isitoshe ajira ni shida
Sorry nimekosea ni 67%98%? are you serious
duh jf rahaNilikutana naye mmoja kwenye social network hiz tukafanya biashara haloo nilipata tabu hicho kiswahili chake itabid sasa tuanze kutumia voice note kidogo ikawa afadhali japo anaongea kama mchina hiv
[HASHTAG]#apo[/HASHTAG] alikua anamaanisha ishachukuliwa
aaash hhaa haa aisee hii hatari mkuuNilikutana naye mmoja kwenye social network hiz tukafanya biashara haloo nilipata tabu hicho kiswahili chake itabid sasa tuanze kutumia voice note kidogo ikawa afadhali japo anaongea kama mchina hiv
[HASHTAG]#apo[/HASHTAG] alikua anamaanisha ishachukuliwa