Naomba kujulishwa namna ya kujiunga vyuo vya certificate vya afya vya government

Super human

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,147
Reaction score
749
Wadau naombeni msaada wenu. Kuna dogo hapa ana credit 2 sasa kila mtu anamshauri teaching. Nikaona si vibaya nikaomba ushauri humu jamvini. NATANGULIZA SHUKRAN
 
Teaching sikushauri,kama mfuko wako unaruhusu mtafutia course nyingine nzuri.natumaini utapata washauri wazuri humu.
 
Mi nnavyojua ngazi ya cheti vyuo vya afya wanachukua wenye D katika biology, chemistry na physics ila kwa case yako sijui labda wanaweza kufanya mabadiliko
 
Ungeweka matokeo yake ingeli kuwa rahisi kutoa ushauri,mf.siwezi kumshauri aombe vyuo vya uuuguzi wakati cjui km amefaulu masomo ya sayansi.
 
Anaweza kwenda maana kwa matokeo ya kuanzia 2012 na kurudi nyuma anatakiwa awe na "ddd" kwa "pcb" mathematics na english ni sifa za ziada na kwa matokeo kuanzia 2013 mpaka leo inatakiwa "eee" kwa "pcb" km kawaida maths na eng ni sifa za ziada. Hiyo ni certificate ya kozi yoyote ya afya.
 
nami na dogo langu ana matokeo kama hayo ntajarbu kama ataweza kuchachaguliwa.
 
Anaweza kwenda maana kwa matokeo ya kuanzia 2012 na kurudi nyuma anatakiwa awe na "ddd" kwa "pcb" mathematics na english ni sifa za ziada na kwa matokeo kuanzia 2013 mpaka leo inatakiwa "eee" kwa "pcb" km kawaida maths na eng ni sifa za ziada. Hiyo ni certificate ya kozi yoyote ya afya.

Ndugu naona unataka kuendesha Utapeli humu. ndugu ukipata EEEEEEEE Zote kwa Mujibu wa Necta hupati Result slip pia hata cheti hupati GPA NI 0 sasa hiyo E itakusaidia nini hapo kwenye kujiunga na vyuo vya Afya kwa taarifa tuu wanahitaji D Nne! za ,math,physics,Biology,Chemistry
 
Kwa physics tu wamesema mpka E ipo lakini biology na chemistry wanaanzia D
 
Wadau hivi fomu za kozi kwa wizara ya afya zimeshatoka?
 
Anaweza kwenda maana kwa matokeo ya kuanzia 2012 na kurudi nyuma anatakiwa awe na "ddd" kwa "pcb" mathematics na english ni sifa za ziada na kwa matokeo kuanzia 2013 mpaka leo inatakiwa "eee" kwa "pcb" km kawaida maths na eng ni sifa za ziada. Hiyo ni certificate ya kozi yoyote ya afya.

acha kupotosha umma!!!
 
Back
Top Bottom